scaltingscalting
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 148
- 55
Ndugu wana jf, katika pitapita nimefika huku usa kuna binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja.
Inavyonekana jamaa wamepeana hela kwani binti amepelekwa mahakamani kwa kosa la kujaribu kumuua mwanaye. Ndugu zake wanasema binti ni mzima kiakili na mimi nilivyomwona kweli anazo akili zote sema kuna kitu nyuma ya pazia.
Je, sheria inasemaje kwa hili?