Msaada wa sheria: Binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja

Msaada wa sheria: Binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja

scaltingscalting

Senior Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
148
Reaction score
55
Ndugu wana jf, katika pitapita nimefika huku usa kuna binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja.

Inavyonekana jamaa wamepeana hela kwani binti amepelekwa mahakamani kwa kosa la kujaribu kumuua mwanaye. Ndugu zake wanasema binti ni mzima kiakili na mimi nilivyomwona kweli anazo akili zote sema kuna kitu nyuma ya pazia.

Je, sheria inasemaje kwa hili?
 
Hakuna mlolongo kamili wakusema nani akae na mtoto ila katika maamuzi yoyote yawe yakimahakama au laa maslahi ya mtoto ndio kipaumbele hii ni kulingana na SHERIA YA MTOTO NO.21 YA 2009 Kifungu cha 4(2) Lakini kwenye Kesi ya Ramesh Rajput v. Mrs sunanda Rajput [1988] T.L.R ,page 96 Mahakama ya Rufaa ilisema ''an infant child of two years should be with the mother unless there are very strong reasons to the contrary''. Further reference go inbox
 
Kuna tatizo huku wamemuandikia mama wa mtoto kuwa alitaka kumua na pia kuwa ni kichaa sasa mahakam imemuweka ndani kwa siku kumi na nne . Huyu ni ndugu yetu ni mzima kabisa hana tatizo Je ni haki imetendeka hapo na Je nifanyeje
 
Unaweza kuona kaonewa ila kwa sababu ni nduguyo unajaribu kumfanya kua yupo sawa.japo ukweli anao mwenyewe ila hata mwanaume alozaa na binti hawezi kukurupuka kutaka kumchukua mtoto yuko na mwaka m1,kutakua na kitu jaribu kuchunguza vizuri..wakati mwingine wanawake ni wenye roho ngumu sana hua wanaweza kufanya kitu cha ajabu yamkini tu labda ana hasira na aliemzalisha kua alimdanganya atamuoa.anasahau na yeye kua ana makosa ya kujibebesha mimba kabla hajaolewa..kua makini na uchunguzi wako
 
Hawa jamaa wameowana mda mtoto aliemchukua ni wa pili wa kwanza mwenye miaka miwili na zaidi amempa mamake
 
Back
Top Bottom