Msaada wa sheria, Matapeli Wameniliza

Msaada wa sheria, Matapeli Wameniliza

Komaa na Tigo warudishe hela yako.

Kama mtu anaweza kuhack kwenye system yao inamaana tatizo ni la kwao. Komaa
 
Nadhan tusiwe wepesi wa kuacha sim zwmetu ovyo na tuzifunge lain na sim kwa nanba za siri ili watu wasiweze kuztumia bila idhin yetu itatusaidia watu kutotuma txt kama hzo
 
Simu ya dadako umepiga haipokelewi,lakini wewe badala ya kukomaa Ili umpate dadako kujirizisha,unaamua kutuma pesa?aiseee hapo umekosea mkuu..pole.
 
Njia hii imetumika kitambo.Wanachofanya nikuingilia line ya mtu.Wao ndio wanakuwa na mawasiliano ya line hiyo kama alivyosema mmojawetu hapo juu.By the way as amatter of education, dada yako hakuwa na line au simu nyingine maana si rahisi wakazima line zote za mtu kwa wakati mmoja au?
 
Yaani hata hatujui ndugu, na outsms kwenye simu ya Dada hizo hazipo
sio kwamba waliipata cm ya dada yako bali hizo sms wanazituma kwa computer, ni wezi hao wameibia mawakala wengi mno
 
Jamani kuweni makini hiyo namba inayoishia 27 bado ipo hewani haijapata mpigaji bado, leo kaniganda toka 400,000 anataka nimtumie hata 20,000
 
Kuna matapeli wamenipiga ambao hutumia #za tigo.

Story yenyewe iko hivi,
Nimepokea sms kutoka simu ya dada yangu ikinielekeza kutuma pesa 250,000 kwa mtu kwani anashida sana, na akanitumia namba ya huyo mtu na jina lake, muda mfupi baada ya ujumbe kuingia huyo mtu akanipigia kama nimepata ujumbe wa dada na kudai kuwa nimsaidie haraka, nikampigia dada kuconfirm hakupokea huku nikisumbuliwa na huyu MTU, nikaona isiwe tabu wacha nimsaidie, nikatuma Tigo pesa. Na ujumbe wa kuonyesha pesa imekwenda nikafoadi kwa dada. Dada alinipigia baada ya muda kuliza ule ujumbe nikamjulisha kilikuwa ni kitu kigeni kwake. Nikascreeshot nikamtumia kashangaa sana. Kwenda tigo ile namba haipatikani hata baada ya kupata ile pesa hakuna simu ya shukrani. Pesa katoa na simu haipatikani.
Baada ya muda nikapokea ujumbe mwingine kutoka kwa dadangu huyohuyo ukinitaka nimsaidie mtu mwingine 400,000 jina na nambayake, huyu wa sasa akapiga simu namba tofauti na ile ya kwanza hata sauti pia akijieleza kwa jinsi walivo karibu na Dada hivyo Dada kaniomba nimsaidie.
Kwa kuwa mchezo nilishaujua nilimuomba tuonane nimpe cash alinisihi sana nimtumie coz kabanwa hawezi toka nikaona isiwe tabu nimfate aliponielekeza nimpe mpunga. Kufika maeneo Yale simu imezimwa.

Nimelizwa jamani nitapaje jasho langu.

Mkuu Chozy , pole sana. Nafuu hata hiyo # ya dada yako wamei'huck. Mimi nina Baba yangu mdogo ni mfanyabiashara mkubwasana dar. Mkewe pia yuko kwenye miradi yake. Anafahamika.

Cku moja niko hospital nimelazwa nikapokea sms toka kwa ma'mdogo huyo(yenye maelezo kama hayohayo ya huyo ulomtumia pesa). Niliombwa laki3 kwamba ameuguza mwanae ghafla na amekimbizwa Muhimbili.

Time hiyo mimi nilikuwa Ndanda-Masasi. Nikashindwa kuelewa kabisa. Nikajiumauma hapo kwa fedheha coz kiukweli, kwa status ya yule mama na kwa namna ninavyoheshimiana naye, nilijisikia simanzi mno (kwa kukosa bela ya kumtumia).

Nikaamua kumpigia(just to apologize). Cm haikupokelewa. Nikapata sms papohapo "Naomba umtumie Joseph pesa hiyo, yuko njiani anakuja hospital na amefika Ubungo(akataja kias hicho na kunipa namba ya kutuma M-Pesa).

Nikachachawa mno. Nikajaribu kuwapigia wadau wangu wanitumie ammount hiyo(wanikopeshe), kweli nikatumiwa laki3 ili niitume.

Kama Mungu tu aisee, nikampigia tena yule ninayetaka kumtumia(just to prepare him), hakupokea simu. Badala yake akatuma sms yakunisisitiza, "tafadhali tuma haraka, mtoto yuko hovyo hapa".

Duh! nikampigia Baba Mdogo kumpa pole (wakati WAKALA anaendelea na muamala wa kutuma). Gosh! Baba Mdogo akasema "wapumbafu hawa, usitume hela. Wamemwibia mama yakk simu wanatapeli watu!".

Faster tu nikamnyang'anya simu WAKALA na kukata MUAMALA. Nikawa nimeokoa pesa hiyo na Kushukuru sana.

So, kama walikupata kiivyo, huwez okoa hela hiyo. Iwe fundisho kwako na kwa wengine pia. POLE SANA.
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa wananitumia hizo sms na huishia kuwatukana...kwa kuwa waliko lala wao ndio nilikoamkia mimi....pole sana mkuu jaribu kupata funzo hapo ili next time wasikuibie tena....
 
Kama tigo wamesema hawawezi kukusaidia basi watakuwa wamehusika kwa namna nyingine kufanikisha wizi huo.
 
Pole sana mkuu. Umenikumbusha maumivu ya kupigwa na tapeli 6M, tapeli huyu nashindwa kumkamata kwan anakula na Polisi wa kituo cha Chuo na pale kwenye mabati.

Huyo mtafute mwenyewe kimyakimya usimpeleke police malizana nae kimjinimjini 2 mkishamkamata mvueni nguo zote muwe n nyembe mnamchanja kuanzia kojoleo n kinyeo mpka then mnampka pilipili mbuzi y kutosha sehemu mlizochanja na macho yani ataomba poa hayo maumivu lazma azimie
 
Kuna dada pia alitapeliwa laki 9 kwa staili hiyo. Wao walimtumia rafiki yake. Akanipigia akaniambia nimsaidie,nikamwambia usihangaike,hata ukienda police watakulia pesa tu. Umetapeliwa
 
Back
Top Bottom