Umelonga vizuri EMT. Mdada ana miaka 21, alikubali mwenyewe kutoa na si kabakwa. Labda kesi ya madai ya matunzo ya mtoto- na hii ni baada ya kudhibitika kwamba mtoto ni wa huyo jamaa. Kwa maana nyingine: imekula kwake.Aliyepewa mimba ana miaka 21 umri ambao ni zaidi ya miaka 18.
Ni mtu mzima huyo kwa hiyo wakati anajahimiana na huyo jirani alikuwa au alitatakiwa ajue matokeo yake ikiwa ni pamoja na kupata mimba.
Kwani alibakwa? Si walikubaliana kujahimiana?