Msaada wa sheria

Msaada wa sheria

MadamG

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
125
Reaction score
47
Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne mwaka jana bahati mbaya alifeli ila alitarajia kurudia mtiani mwakani, umri wake ni miaka 21 alichelewa kuanza shule. nimesikia leo anamimba aliyempa anakaa jirani na kwetu ila kaukataa na anasisitiza ni wa uyo kaka je nnaweza kumshitaki uyo aliyempa ujauzito na kama naweza kwa kosa lipi ili iwe na uzito na iwe fundisho kwa watu dizaini yake? naomba msaada nipate pa kuanzia maana nimechanganyikiwa
 
Aliyepewa mimba ana miaka 21 umri ambao ni zaidi ya miaka 18.

Ni mtu mzima huyo kwa hiyo wakati anajahimiana na huyo jirani alikuwa au alitatakiwa ajue matokeo yake ikiwa ni pamoja na kupata mimba.

Kwani alibakwa? Si walikubaliana kujahimiana?
 
Hapo count yo losses alipigwa mimba akiwa is mwanafunzi..na umri wake ni majority age

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Aliyepewa mimba ana miaka 21 umri ambao ni zaidi ya miaka 18.

Ni mtu mzima huyo kwa hiyo wakati anajahimiana na huyo jirani alikuwa au alitatakiwa ajue matokeo yake ikiwa ni pamoja na kupata mimba.

Kwani alibakwa? Si walikubaliana kujahimiana?
Umelonga vizuri EMT. Mdada ana miaka 21, alikubali mwenyewe kutoa na si kabakwa. Labda kesi ya madai ya matunzo ya mtoto- na hii ni baada ya kudhibitika kwamba mtoto ni wa huyo jamaa. Kwa maana nyingine: imekula kwake.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Angekuwa bado mwanafunzi kesi ingekuwepo,lakini kaishamaliza shule,mwambie amuoe tu.
 
aisee mkuu, hapo kesi sio ya ubakaji wa mtoto, uyo cc ni mkubwa 2 na anaelewa bt ninachofikiria uyo dada inapaswa aende ustawi wa jamii atapata ushauri mzuri
 
Inategemea mimba ilipatikana muda gani.Kama ilikuwa kabla ya kuhitimu,waweza kumshtaki huyo mwanaume kuwa amesababisha mwanao asifanye vyema kwenye mitihani. Pia,waweza kujenga hoja kuwa huyo mwanaume alimhaidi mwanao kumuoa na sasa kaghairi.
 
Back
Top Bottom