Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne mwaka jana bahati mbaya alifeli ila alitarajia kurudia mtiani mwakani, umri wake ni miaka 21 alichelewa kuanza shule. nimesikia leo anamimba aliyempa anakaa jirani na kwetu ila kaukataa na anasisitiza ni wa uyo kaka je nnaweza kumshitaki uyo aliyempa ujauzito na kama naweza kwa kosa lipi ili iwe na uzito na iwe fundisho kwa watu dizaini yake? naomba msaada nipate pa kuanzia maana nimechanganyikiwa