Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

Kop0

Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
76
Reaction score
111
Habari,

kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
 
Paloti sec school,Makiyungu_Singida,Nuru secondary school _Dodoma, wengine watakuja.
 
Back
Top Bottom