Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

Msaada wa shule ya advance ya gharama nafuu

Ercy's

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
88
Reaction score
24
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu ya civcs, iwe mkoa wowote.
 
Nenda itende high school iliyopo nje kidogo ya jiji la mbeya ada ni sh laki 5 day na boarding ni m.2
 
Mbona kuna comb za art2 Ipo CBG kwel?
 
Hivi unaonaje ukasema kwa kiswahili tu badala ya kusema "shule ya advance"?. Shule ya advance ni nini?
Tafadhali wakuu kwa anefaham shule ya advance comb ya CBG ya bodng ya ada chini ya mil2 kwani mdogo wang anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa mert.,katka masoma yake ana D 1tu ya civcs iwe mkoa wowote
 
Hivi unaonaje ukasema kwa kiswahili tu badala ya kusema "shule ya advance"?. Shule ya advance ni nini?[/QUO ukuelewa nn labda???? Au unataka kujulkana kptia hii thread???? Advanc nkimansha advanced level..utak andamana ndorooooob ww
 
Mkuu nafuu iko Mtwara ambayo ni private inaitwa Marwa High School/ Ocean nafikir haifiki ata 500,000 ila shughuli yake pevu
 
Ndiyo mnafundishwa hivyo kwenye shule za kata? Hata ukipata shule huna uwezo wa kufaulu wewe kichwani hazimo. Nenda kauze kauzu!. Ikiwa hata unachokitafuta huwezi kukinakili, utasoma wapi wewe? Unapoteza muda tu!. Kapige debe stand!.

Hivi unaonaje ukasema kwa kiswahili tu badala ya kusema "shule ya advance"?. Shule ya advance ni nini?[/QUO ukuelewa nn labda???? Au unataka kujulkana kptia hii thread???? Advanc nkimansha advanced level..utak andamana ndorooooob ww
 
Mkuu nafuu iko Mtwara ambayo ni private inaitwa Marwa High School/ Ocean nafikir haifiki ata 500,000 ila shughuli yake pevu

Kwa nn? Atasoma tu kwani ana nia ya kusoma
 
Mlete MWANZA REGION shule ni TAQWA HIGH SCHOOL ada ni 850000/ kwa science na 720000/ kwa masomo ya arts shule ni ya girls na boys
Ada zote hizo ni kwa wanafunzi wa day
 
Mlete MWANZA REGION shule ni TAQWA HIGH SCHOOL ada ni 850000/ kwa science na 720000/ kwa masomo ya arts shule ni ya girls na boys
Ada zote hizo ni kwa wanafunzi wa day

Kuna hostel..vipi kuhusu chakula?
 
kuna chimbo linaitwa ntunduru kama collage vile boarding 9k ila changamoto zake sasa nyapu nje nje!
 
Mlete MWANZA REGION shule ni TAQWA HIGH SCHOOL ada ni 850000/ kwa science na 720000/ kwa masomo ya arts shule ni ya girls na boys
Ada zote hizo ni kwa wanafunzi wa day

Kwa hapo mwanza kuna uwezakano wakupata masomo ya jioni(evening class) kwa advance?
 
Back
Top Bottom