Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali wakuu kwa anefaham shule ya advance comb ya CBG ya bodng ya ada chini ya mil2 kwani mdogo wang anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa mert.,katka masoma yake ana D 1tu ya civcs iwe mkoa wowote
Hivi unaonaje ukasema kwa kiswahili tu badala ya kusema "shule ya advance"?. Shule ya advance ni nini?[/QUO ukuelewa nn labda???? Au unataka kujulkana kptia hii thread???? Advanc nkimansha advanced level..utak andamana ndorooooob ww
Kuna hostel..vipi hususu chakula?
Mlete MWANZA REGION shule ni TAQWA HIGH SCHOOL ada ni 850000/ kwa science na 720000/ kwa masomo ya arts shule ni ya girls na boys
Ada zote hizo ni kwa wanafunzi wa day