Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Habari zenu nikirudi bongo nampango wakupitiliza kwenda kisiwani mafia kuishi HUKO naomba nijie yafuatayo.
Starehe lounge na night clubs, utalii, wingi wa watu, ushirikina, networks uhakika, umeme, mzunguko wa pesa, maduka makubwa ya simu na accessories zingine kama vifaa vya umeme, ujenzi ,watoto wazuri wa kiarabu, watoto wa kibantu, je nimwendo wa ushungi na kibandiko au hata dada zetu slay queens wapo, asanteni