Msaada wa taarifa. Nataka nikaishi kisiwa cha Mafia maisha yangu yaliyobakia

nilitaka niende shamba nijenge KULE invite demu nitulie zangu mambo ya kukimbizana kariakoo hapana ndo chanzo kupachagua mafia nacho taka NIPATE TU hela ya kula si kutajirika, tafanya BIASHARA kidogo vyakunipatia chochote kidogo TU huku naishi inshaallah

Kipi bora?
Kuzaliwa na kuiona kariakoo na pilika zake mpaka zikakushinda..
Au kutokuzaliwa kabisa na kuepuka hizo pilika?
Cha ajabu unapotaka kwenda kuwa na angalau hela ya kula , halafu unataka kuleta demu muanze kutotoa, na watakao tokea waingie kwenye mzunguko wako wa kutafuta hela ya kula tu....
 
Mkuu unataka nitafute hela kama ya bakhresa au gsm, hapana natafuta hela ya kuhudumia family basi sijui umeni elewa, kupachagua mafia nataka utulivu si pesa umenpata
 
Ni kwamba unataka kuanza kuleta viumbe waingie kwenye mzunguko wako wa maisha ya kutafuta hela ya kula....
Wapotezee waepuke yaliyokukuta.....
 
Mkuu hela ya kuwalisha na kuwasomesha IPO au unataka hela ya nini
 
Asante sana ndugu yangu nikija kufungua duka la simu kubwa vip, je watu ni wengi na je Kuna Sheria za Kila mwanamke avae ushungi au
Population ya watu Mafia bado ni ndogo, Sensa ya 2022 kuna jumla ya wakazi 66,180. Wanawake 32,960 na wanaume 33,220, hiyo ikupe picha ya target population yako.

Shughuli kuu ni kilimo cha nazi na uvuvi wa samaki, ambao kwa kiasi kikubwa hawanufaiki sana kwa sababu hakuna kiwanda cha kuchakata, tecnolojia changamoto kunakosababishwa na umasikini wa kifikra na wa kipato.

Hakuna sheria ya uvaaji kwa wote, kila mtu anavaa kulingana na utamaduni wake. Makanisa yapo mengi, hivyo muingiliano wa kidini na kitamaduni ni mkubwa

Kwa biashara yako ya duka la simu "kubwa", purchasing power ya wakazi wengi iko chini sana haswa kwenye biashara kama yako.

Bidhaa zinazotoka sana na zote zinaagizwa kutoka dar ni maji ya kunywa ya chupa, vinywaji baridi vyote, pombe zote, mazao ya nafaka yote, mazao ya kunde yote, unga wa ngano na sembe.
 
Asee kaka shukrani sana, mana lengo langu nikifungua night club HUKO, kupachangamsha pia NILI taka nijenge nyumba za kupangisha kuelekea kufungua bonge MOJA la CHUO Cha vijana kwa kozi ndogondogo kama computer, utengenezaji simu, nk hivo mi lengo langu ni kua mpaka kufikia utalii unaongezeka basi mi niwe Nisha patawala hapo kisiwani pote
 
Sahau, nipo Mafia muda huu
 
Back
Top Bottom