Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
Hamna mkuu ata wazee wa zamani walishasemaga kazi na dawaNgoja waje ila kwa maelezo yako inaonekana wazi wewe ni malaya tosha.
Hapana mkuu Sasa hapa mjini maandamano yanatokea polisi wanatoa vijana wa kiume ndani ya nyumba zao naku wapiga risasi wewe huja elewa kipi? Hatuitajiki mkuuMafia kufanya nini umekosa pakwenda hadi uende huko kuliko telekezwa
Hapana mkuu kuwa na utulivu uta elewa TU, nikisema Kuna starehe namanisha nataka nikafungue bar Sasa kama hamna warembo taajili nani, kama hamna bar Ina mana hamna wanywaji, kama hamna watoto wa kiarabu Ina maanisha waarabu hamna na hao ndo Wana mitaji mikibwa visiwani, hukunielewa TU mkuuUmewaza sana kugegeduana kuliko kwenda kumalizia hayo maisha uliyoyasema
Acha misemo mingi, tukubaliane tu wewe ni malaya, siyo tunaanza kuzungushana kama mtafutaji anayetafuta shilingi katikati ya jiji.Hamna mkuu ata wazee wa zamani walishasemaga kazi na dawa
🤣🤣🤣Hapana mkuu kuwa na utulivu uta elewa TU, nikisema Kuna starehe namanisha nataka nikafungue bar Sasa kama hamna warembo taajili nani, kama hamna bar Ina mana hamna wanywaji, kama hamna watoto wa kiarabu Ina maanisha waarabu hamna na hao ndo Wana mitaji mikibwa visiwani, hukunielewa TU mkuu
Kuna uzi humu ulikuwa ukielezea tabia za watu wa mafia. Dondoo chache nazokumbukaHabari zenu nikirudi bongo nampango wakupitiliza kwenda kisiwani mafia kuishi HUKO naomba nijie yafuatayo.
Starehe lounge na night clubs, utalii, wingi wa watu, ushirikina, networks uhakika, umeme, mzunguko wa pesa, maduka makubwa ya simu na accessories zingine kama vifaa vya umeme, ujenzi ,watoto wazuri wa kiarabu, watoto wa kibantu, je nimwendo wa ushungi na kibandiko au hata dada zetu slay queens wapo, asanteni
Sio Malaya sema mwanaume nilie kamilika, mwanaume halisi lazima uwe na uwezo wa kuzichapa na sio kukaa ki shogaAcha misemo mingi, tukubaliane tu wewe ni malaya, siyo tunaanza kuzungushana kama mtafutaji anayetafuta shilingi katikati ya jiji.
asante🤣🤣🤣
Sawa mkuu hapo nimekupata
Asante
Bakressa na Mimi ni tofauti sishindwi kumdaka MZEE MOJA nika msukumia makofi mkuu labda sema sababu zingine hizo hazina mashikoooMafia ni mji wa kimwinyi na ushirikina.
Kama lengo lako ni kufungua biashara ya vileo na starehe, kule sio mahala pake.
Na kama wewe ni mtu usie na msimamo kiasi kufuata nasaha za dini ya kiislam, wenyeji wa kule watakuona jau sana hutapaweza.
Ikiwa Bakhresa na ukamatiaji wake wote wa fursa alinyoosha mikono kwa wazee wa mafia, sembuse wewe mvaa lege!
Kama target yako ni kuuza vinywaji, sehemu sahihi ni migodini. Kule watu wanakunywa na kuoga pombe 24/7 per annum.
HUKO ni ugenini siwezi kanyaga nikawe mkimbizi ilihali nyumban pia Kuna fursaNenda Comoro ama Ushelisheli Pako vizuri sana kuliko Mafia
Kwa Mafia ni Big NOHUKO ni ugenini siwezi kanyaga nikawe mkimbizi ilihali nyumban pia Kuna fursa