Msaada wa taarifa. Nataka nikaishi kisiwa cha Mafia maisha yangu yaliyobakia

Sio Malaya sema mwanaume nilie kamilika, mwanaume halisi lazima uwe na uwezo wa kuzichapa na sio kukaa ki shoga
aiseee! Kibaka hawezi kukubali kuitwa kibaka hata siku moja, anyway acha nikubaliane tu na msimamo wako.
 
Swali dogo la kizushi ila la ufahamu wa mazingira ya kitanzania na kimaeneo,je nawe ni mejeji ya pwaaanii?Ama Mwinyiii?
 
 
Unaweza kwenda kujaribu.
Niliwahi kwenda kule kikazi almost mwezi mmoja.. Ukiingia mtaani kujichanganya itakuwia ugumu kama sio mtu wa ukanda huo...
Nimeishi sana Zanzibar ndo mana najikibali kwenda KULE lengo si kukaa sana mjini bali nilitaka niende shamba nijenge KULE invite demu nitulie zangu mambo ya kukimbizana kariakoo hapana ndo chanzo kupachagua mafia nacho taka NIPATE TU hela ya kula si kutajirika, tafanya BIASHARA kidogo vyakunipatia chochote kidogo TU huku naishi inshaallah
 
Nakuombea ufanikishe yote ikiwa yatakua ya kumpendeza Mungu na wanadamu..
 
Nilipata kazi huko miaka ya 90 nikamuunga jamaa mmoja maarufu tu kwasasa hapo kino ana jiko la nyama choma Hotel moja.
Alienda tu maana hakua na issue mjini,
Do karudi kabagazwa mbaya sasa ikawa lawama tena 😁😅😅.
yaani story alinipa kule watu ni km mbuzi.
 
Daah hatari saana
 
Karbu sana mafia mkuu..
Kwa lolote lile niulize nipo huku kwa sasa nina miaka miwili.

Biashara nayofanya ni kuuza vijora
Wadada wapo wa kutosha na nawala sana sana sana
 
Aisee karibu sana mkuu, ukiwa nje ya Mafia utasikia wakizungumzia vibaya watu wa kisiwa hiki. Uchawi kila mahali upo hadi Vatican, bar zipo na pombe inaruhusiwa. Kila sehemu ya uvuvi malaya hawakosekani...wanamafia hupenda kuwaita "vijoti".

Fursa ziko nje nje ila changamoto kubwa ni usafiri. Kivuko ni kimoja tu, ndege ni zile ndogo.
 
Asante sana ndugu yangu nikija kufungua duka la simu kubwa vip, je watu ni wengi na je Kuna Sheria za Kila mwanamke avae ushungi au
 
Karbu sana mafia mkuu..
Kwa lolote lile niulize nipo huku kwa sasa nina miaka miwili.

Biashara nayofanya ni kuuza vijora
Wadada wapo wa kutosha na nawala sana sana sana
Hahahaha vip watoto wa kiarabu wapo wakutosha mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…