Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

Msaada wa tarehe za kuzaliwa za wazazi kwenye tovuti ya kuomba passport ya kusafiria

Iamhonest

Member
Joined
Jun 27, 2018
Posts
14
Reaction score
22
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi kwenda page ya mbele kuingiza taarifa zingine

#EDIT NAMNA NILIVYOSOLVE HILI SWALA.
nilipata msaada kwa mdau mwingine aliniambia nisitumie google chrome nitumie mozila fire fox na iwe updated to the current version nikafanya hivyo ikaendelea na error mara kadhaa lkn baada ya kujaribu mara kadhaa ikakubali. kumbe google chrome inasumbua wakati mwingine namna inavyopost form informations.
#tatizo limekuwa solved kwa namna Hiyo.
 
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi kwenda page ya mbele kuingiza taarifa zingine
wanaandika error waliwazaa?
 
Kwanza wanahitaji hizo taarifa za nini?kuomba kwako kwa passport information za wazazi wanazitakia nini?....after all walitakiwa kuwa nazo wao sio wewe..
 
Back
Top Bottom