Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

Patra31

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
6,918
Reaction score
13,885
Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
 
msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu.
Riba au tiba

Tiba

Pakaa mafuta ya nazi, zaituni au mchaichai kwenye miguu kabla ya kulala na baada ya kuamka, usiache miguu yako iwe mikavu mda mrefu

Meza punje 2 za kitunguu saumu ×2 kwa siku
Kunywa juice ya ndimu au limao muda wa wiki 1

Mengine Herbalist Dr MziziMkavu atakuja kuongezea
 
Vitunguu swaumu ni dawa poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…