Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
Mkuu umejaribu kupima Sukari?

If Otherwise, kama hiyo hali haija ambatana na homa, kutopata haja ndogo kwa mda mrefu. basi itakuwa ni Allergy ya kawaida kutokana na Majani, Mdudu au Usafi wako hio sehemu.

Hio hali itaisha baada ya Muda kidogo, ila zingatia usafi wa hilo eneo, na ikitokea panawasha basi kanda kwa kutumia maji ya Baridiiiiiii hadi muwasho utakapopungua.
 
Mkuu unachoma kitu kweli??
Anachoma ndio alianza kuchoma siku kafiwa na Mzee wake alafu anadaiwa ada akaona ngoja kwanza Ezekiel 1:14 inasemaje

14 Na vile viumbe hai walipiga mbio, kwenda na kurudi, kama kuonekana kwa kumulika kwa umeme.

Akaenda kujimulika na umeme
 
Back
Top Bottom