St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Habari wana Jf.
Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika gunduliko mm ndio mwenye shida nikiwa na tatizo la low sperm count.
Kwa takriban 2yrs nahangaika na hili tatizo, nilipewa dawa tofaut tofaut ikiwemo Chromiphene na Proviron zote kwa miez 6 kwa vipndi mbali mbali, lakin hazikuwez kutatua tatizo. Homone ,kolodin test hazina shida.
Nimekutana na dr. Bingwa wa masuala ya uzazi wa muhimbili lakn nae kachemka, alinishauli nifnye IUI (Intra utteran insermination ) na Ivf lakn gharama ziko juu kuliko uwezo ambao ninao.
Nimepitia post ambazo watu waliomba msaada JF hakuna ambae kaleta mlejesho kafanikiwa kupona au kupata njia mbadala ya kutatua tatizo .
Naomba kma kuna mtu kafanikiwa anipe msaada au kma kuna mtu anajua matibabu au msaada wa kutatua tatizo naomba msaada.
Asanten
Kula sana Tende,njugu mbichi,korosho,asali safi,supu ya samaki wadogo(tonge kwa tonge),tikiti na Maziwa. Na kila siku Sali kwa kumuomba Mungu akujaalie kizazi chema na chenye kheri na wewe. Na ikiwezekana towa sadaka kwa mnyama samaki(paka) sukari(wadudu wadogo wadogo) na ndege(nafaka). Fanya kama maelezo ya hapo juu Hakika Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma na mwenye kurehemu waja wake. Na unapokula hivyo vyakula mpe wife off ya kujamiiana kama wiki mbili halafu endelea na muingiliano. Rafiki yangu mwenye watoto wanne alinipa maelezo hayo mimi baada ya kuyafata wife alipata mimba mwezi tu.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]