Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

Habari za uzima wana JF!

Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni.

Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia.

Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
Bila shaka ni URINE INCONTINENCE. Kamuone Urologist atawapa msaada wa tatizo lenu.
 
Habari za uzima wana JF!

Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni.

Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia.

Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
Kama huyo "mpenzi" wako ni wa kiume, mlete nimtibu kwa tiba ya mitishamba. Ndani ya wiki moja tu tatizo lake litakwisha. Ila kama ni wa kike, basi muwahishe hospitali. Huenda ana ugonjwa wa fistula kama wadau wengine waliotangulia kusema.
 
Dj walete madokta wa jf💃🏽
54C474B8-C34D-44D9-B22F-0718CD4FC0ED.jpeg
 
Jamaa itakuwa kaingiza kidole kwenye tundu la mkojo akiitafuta G portal.Ndio keshamgeuza mtu mfereji hivyo.
Oya kwenye Urethra kidole hakipiti ni padogo sana labda useme ameingiza chelewa yaan ni sawa na hicho kitundu chako hapo kwenye Iliboro Fc eeh hapo huingizi hata kidole cha mwisho hakipiti sanasana utajichana tu
 
Back
Top Bottom