Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Weeeeh 😂😂😂🫵🫵🫵Kwa hakika umenifananisha sio mimi
Leo nilitaka kutoa msaada kwa mwanamke mwenzangu tu
Weeeeh 😂😂😂🫵🫵🫵Kwa hakika umenifananisha sio mimi
Leo nilitaka kutoa msaada kwa mwanamke mwenzangu tu
Hilo ni zongo la mkojo nitafute kwa utatuzi wa haraka. Njoo pmHabari za uzima wana JF!
Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni.
Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia.
Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
Nini kijana tulia basi 😁Weeeeh 😂😂😂🫵🫵🫵
Asante 🤝Hiyo ni "fistula" awahi hospitali hasa aonane na daktari wa magonjwa ya mfumo wa mkojo. Mkojo kutoka pasipo kizuizi huwapata hasa wanawake,na kushindwa kukojoa huwapata wanaume so mhanga ni mwanamke.
Allah amjalie mtuwe apone haraka