Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

Nipo tayari
Mkuu hii hali inaitwa Urinary Incontinence au kwa lugha ya mtaani wansema ana usese..

Hi hali inaweza kusababishwa na UTI au kuwa na tabia ya kubana bana mkojo sana...

Je nijue kama ushawahi tumia dawa yoyote ile.
Lakini pia kama ningepata vipimo vya mkojo au mkojo wake ingekua vizuri zaidi.

Kwa sasa upo wapi mkuu..?
 
Nipo dar es salaam
 
Ni jukwaa gani hilo?
Kwanini walinifukuza?
Mbona sijui kama nimefukuzwa sehemu πŸ€”
Kuna siku walikua majamaa wanabishana kuusu kuumbwa kwa binadamu wewe ukawa kila ukiulizwa unazungumzia mambo ya sijui kula tunda..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…