Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

Hivi wadada wa JF nyie chiu zenu hazipatagi hizi mbanga?

Sijawahi kuona uzi kitumbua kimeanikwa kama hivi.
 
Sina haja ya kuandika kilichokwishakuandikwa uko sahihi mkuu ni hawakukosea wahenga waliposema "Mficha uchi hazai" ila huku ni kuzalilishana ipo option ya kucrop lakini kaona atuanikee na manywele yake tuyaone FOOLISH.

Anasema katumia dawa mwezi haijamsaidia why asiende kwa daktari ila kaona kutuonesha vinywele vyake ndiyo tiba *POOR THINKING CAPABILITY. *
 
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada

Hiii mara nyingi hutokea endapo umekumbana na manzi mchafuuu, harafu akanyonya akiwa na kinywa kichafu! Ilipasa once umegundua Hali ya manzi baada ya kumaliza game mzigo unasafishia kwa jiki miksa spirit, ukikosa tumia kupaka dawa ya meno hrf osha vzriiiiiii,, sasa hapo kacheki na bwana Dr Kuna ant biotic Fran hiv
 
sa umeziba nini hapo mbele si ukaachie kabisa hako ka kitu,,, mbona unakafinya🀣🀣
 
Hivi hapo imesimama au bado? Mbna km kibamia? Afu Govi pia. Lol

Kunae mtu ananyonya hapo, sio kwa ujasiri wa huyo mtu, aaaah.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…