Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

mara nyingi malecturer wanataka ile wow factor

wanataka wasikie kitu flani cha ajabu ajabu kinachoshangaza

hizo management system na lost and found zinafanywa sana.
Mda mwingine sisi nae tunakariri wote tunafanya xxxxxxxxxx information systems, Kuna majamaa walitengeza animation zao hata hawakuulizwa maswali mengi
 
Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
Napata. Mashaka na ufaulu wa sasa ?.Hii mada sasa naona inaanza kuwa ushaidi.

Sisi ma Lecturer tunahitaji innovation. Hizo plain titles za web baded magement system zimepitwa na wakat.
Weka innovation uone kama itakataliwa.
 
Sisi ma Lecturer tunahitaji innovation. Hizo plain titles za web baded magement system zimepitwa na wakat.
Weka innovation uone kama itakataliwa.
Of course unachosema ila yeye ndio anazitaka za namna hiyo so by the way iyo innovation uifanye kwenye web based system.
 
Back
Top Bottom