Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #21
😁😁Mh Mama mwenyewe yupo bize na wasanii wa vichekesho
😁😁Mh Mama mwenyewe yupo bize na wasanii wa vichekesho
Wasukuma huku wanamuita Mama Budulu.Mama Abdul imekula kwake.
Halafu CCM walivyo mabingwa wa propagand watailamu Chadema kwamba ndio imesababisha hayo, badala ya kukaa nao meza moja wayazungumze na wayafanye mabadiriko, wao wanashupaza tu shingo. Ndio kimenuka hivyo. Huo uchaguzi uko hati hati kufanyika au kutofanyika...Ikiwa maamuzi ya hili bunge yatakuwa hasi kwa Tanzania, basi mlolongo wa matokeo yake mabaya utakuwa mrefu kwa Tanzania.
Hapa unawazungumzia US, Scandnavian countries, Canada, World Bank na IMF
Na kitendo cha kanisa kutwezwa kumetia chumvi kidonda na ndo kwanza hata siasa za uchaguzi hazijapamba moto vizuri.
Tafsiri yake ni kwamba huu ndo ule mwaka mrefu sana kwa Tanzania
Wasituchezee. Hiyo ni pesa kiduchu sana wakae nayo. TRA pekee inakusanya trillioni 3 kwa mwezi kwenye kodi. Bado tuna maokoto kwenye madini, utaliu, nauli za SGR, Tanesco, CRDB, NMB na kadhalika. Sisi ni sovereign country, wasidhani kwamba bado ni makoloni yao.Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
Msaada huo ukisitishwa, wasanii wa band ya Mkojani Morden Taarabu na Msonga Jazz vipi ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma?Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
Ccm hata propaganda hawazijui vemaHalafu CCM walivyo mabingwa wa propagand watailamu Chadema kwamba ndio imesababisha hayo, badala ya kukaa nao meza moja wayazungumze na wayafanye mabadiriko, wao wanashupaza tu shingo. Ndio kimenuka hivyo. Huo uchaguzi uko hati hati kufanyika au kutofanyika...
Kuna mikataba na maagano Tanzania imeingia na dunia, kwahiyo kuwa makini kitumia neno 'sovereign state'Wasituchezee. Hiyo ni pesa kiduchu sana wakae nayo. TRA pekee inakusanya trillioni 3 kwa mwezi kwenye kodi. Bado tuna maokoto kwenye madini, utaliu, nauli za SGR, Tanesco, CRDB, NMB na kadhalika. Sisi ni sovereign country, wasidhani kwamba bado ni makoloni yao.
Miradi ya usaid tu tumeshindwa kuiendeleza na watu kukosa ajira. Kwa hayo makusanyo inji ingekuwa imepiga hatua kubwa sana.Wasituchezee. Hiyo ni pesa kiduchu sana wakae nayo. TRA pekee inakusanya trillioni 3 kwa mwezi kwenye kodi. Bado tuna maokoto kwenye madini, utaliu, nauli za SGR, Tanesco, CRDB, NMB na kadhalika. Sisi ni sovereign country, wasidhani kwamba bado ni makoloni yao.
Huyo unamuonea, hata elewaNakala kwa kunguni mkuu wa mama Lucas Mwashambwa na kunguni msaidizi ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy 2
Adriz wewe ni uumbwaSerikali ikaze tu, halafu tuone ikiwa atakayeumia na maisha magumu ni mvaa ushungi au
SayngayAdriz wewe ni uumbwa
NOREFORMSNOELECTION.Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
Na bado Bunge la seneti la Marekani litajadili pia, Huyu Samia wanamuingiza sana Mkenge
Ndiyo mkubwa akiamka vibaya tu wanaitoa serikali madarakani wakati mwingine ukijifanya kichwa ngumu wanatoa mpaka uhai kama walivyo mfanya Gadafi.Kuna mikataba na maagano Tanzania imeingia na dunia, kwahiyo kuwa makini kitumia neno 'sovereign state'
Ukiua raia wa nchi yako, hawa jamaa hawatakuacha maana unavunja maagano uliyokubali wewe mwenyewe, na mda mwingine wanakutwanga kabisa
Bora wazungu waje kuliko ccm! kwasabu naamini mpaka leo elimu ingekuwa nzuri mazingira mazuri na kwetu kijijini tungekuwa hatuteseki maji mpaka leo!Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
Hahahaaaa! Naona nyumbu wamekazana kurogaaa. Serikali hairogeki ndg zangu........mnapata tabu Bure!Na bado Bunge la seneti la Marekani litajadili pia, Huyu Samia wanamuingiza sana Mkenge