Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nyumbu mnatia huruma aisee, hivi hamna kazi za kufanya ee?!!!!😏😏😏Mama Abdul imekula kwake.
Nyumbu mnatia huruma aisee, hivi hamna kazi za kufanya ee?!!!!😏😏😏Mama Abdul imekula kwake.
Kwa akili hizi acha lissu na heche waendelee kujipigia tone tone tu wakashibishe Malaya zao ulaya huko. Wengine tulimchagua kwani tulijua unapomchagua JPM basi unamchagua Samia, asiyekuwa na akili pekee ndiye anayeweza kuongea upumbavu kama huu.Mama mwenyewe sisi hatujamchagua alafu atusumbue
Hiyo trillioni 3 karibu yote inaenda kulipa madeni kila mwezi, hayo mashirika yana wenyewe sio CCM, ya CCM kama TANESCO ni mzigo tuu unaoishi kwa ruzuku, bila hela ya beberu hata mishahara watashindwa kulipaWasituchezee. Hiyo ni pesa kiduchu sana wakae nayo. TRA pekee inakusanya trillioni 3 kwa mwezi kwenye kodi. Bado tuna maokoto kwenye madini, utaliu, nauli za SGR, Tanesco, CRDB, NMB na kadhalika. Sisi ni sovereign country, wasidhani kwamba bado ni makoloni yao.
Wasiutoe kwa sababu mbili.Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
TikitiKwa akili hizi acha lissu na heche waendelee kujipigia tone tone tu wakashibishe Malaya zao ulaya huko. Wengine tulimchagua kwani tulijua unapomchagua JPM basi unamchagua Samia, asiyekuwa na akili pekee ndiye anayeweza kuongea upumbavu kama huu.
Na mwaka huu tunamchagua yeye na Nchimbi kama kawa.
ndo mtetezi wa CCMHahahaaaa! Naona nyumbu wamekazana kurogaaa. Serikali hairogeki ndg zangu........mnapata tabu Bure!
AiseeeeeWazuie kabisa hawa Makabulu weusi hawafai,
Mi mdau tu, watetezi wa ccm Bado Wana mambo muhimu ya kufanya kuliko kuhangaika na nyie nyumbu msio na athari yoyote.....muda ukifika basi watawajibu ndo mtajua kama hamjui kenge nyie. Kwa Sasa wapo na mikakati zaidi ya kivitendo kuliko maneno.ndo mtetezi wa CCM
Mama Abdul imekula kwake.
Tanzania Ina Bajeti ya Trilioni 55 na kati ya hizo Msaada hauzidi Trilioni 3 Kwa mwaka kutoka Kwa Wazungu woe combined achana na hao wa Ulaya.Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion.
Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa.
EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika kuteka na kutesa watu .
Macho na masikio ni trh 7 -8 ,let
View attachment 3325609
Huna akili faggot..Kwa akili hizi acha lissu na heche waendelee kujipigia tone tone tu wakashibishe Malaya zao ulaya huko. Wengine tulimchagua kwani tulijua unapomchagua JPM basi unamchagua Samia, asiyekuwa na akili pekee ndiye anayeweza kuongea upumbavu kama huu.
Na mwaka huu tunamchagua yeye na Nchimbi kama kawa.
Kumbuka hapo huzungumzii TSh. Serikali inafurahia misaada hii sababu vile vile inaimarisha Sh na kuiongezea nchi fedha za kigeni. Kwa nchi kama Tanzania kukosa msaada wa USD 600+ million tegemea sh kushuka thamani. Acha hiyo, ikitokea wameshusha rungu la vikwazo hiyo inayo kusanywa na TRA itatoka wapi?Tanzania Ina Bajeti ya Trilioni 55 na kati ya hizo Msaada hauzidi Trilioni 3 Kwa mwaka kutoka Kwa Wazungu woe combined achana na hao wa Ulaya.
Sasa Kwa akili Yako Tanzania ni ya kuyumbishwa na 1.2T? Trump amekata misaada umekosa dawa hospital?
Hiyo ni hela kiduchu sana ,Kodi inaongezwa kwenye soda,bia na betting pesa zinapatika sana.
Kwanza hapa Tanzania watu wengi hawalipi kodi ya Jengo nimiwemo Mimi so wakisema Kila nyumba iwe na umeme au Haina au Kila shamba lilpiwe kama sheria zinavyotaka Kuna mabilioni ya Shilingi.
So nyie mbumbumbu wa Chadomo msijisumbue saana maana hakuna kitakachobadilika na kiminyo mtapewa as usual. Cc nyumbu Matrix19
Hakuna awamu inavuna pesa nyingi sana za exports Kupitia mazao ya Kilimo ,Utalii na Madini kama awamu ya 6.Kumbuka hapo huzungumzii TSh. Serikali inafurahia misaada hii sababu vile vile inaimarisha Sh na kuiongezea nchi fedha za kigeni. Kwa nchi kama Tanzania kukosa msaada wa USD 600+ million tegemea sh kushuka thamani. Acha hiyo, ikitokea wameshusha rungu la vikwazo hiyo inayo kusanywa na TRA itatoka wapi?