Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Habari wana JF,
Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu nihamie tpa vipi utaratibu upoje? Nini nikifanye niweze hamia tpa?
Asante!