Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Ahaha hatari sanaHongera sana mkuu.
Fuata Hatua zote utaajiriwa TPA.
Kikubwa ni GPA yako.
Connection.
RUSHWA nk.
Maombi/ ulozi.
.Hakuna lisilowezekana kwa Mungu
eb tupe madini ndugu yang hapoKuhamia bandari ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Inawezekana ila kwa % ndogo.
Kwanza hapo lazima ujue kuwa kada uliyopo na unayokwenda kituo B ni tofauti, hivyo mchakato wako wa kuhama una mizunguko.
La pili kama umeajiriwa kwa degree na sasa una diploma hapo umefeli tayari.
Ushauri: Omba ajira mpya zikitangazwa then ukishinda usaili njoo tukupe mbinu rahisi ya kwenda sehemu B.
Ukihamia kwa njia ya mkato( utumishi direct bila kupata baraka za afisa wa TPA) kuna possibility ya kurudishwa ulikotoka
Hahaaa yani umeiweka shilingi pande zote mbili achague atapoona panamfaa au siyo? [emoji23]Hongera sana mkuu.
Fuata Hatua zote utaajiriwa TPA.
Kikubwa ni GPA yako.
Connection.
RUSHWA nk.
Maombi/ ulozi.
.Hakuna lisilowezekana kwa Mungu
Mkuu nje ya mada kidogo hivi bandari college ni sawa na dmiHabari wana JF,
Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu nihamie tpa vipi utaratibu upoje? Nini nikifanye niweze hamia tpa?
Asante!
Hapana, Bandari College ni chuo kilichopo chini ya TPA na wanafundisha watumishi wa TPA na raia kuhusu kozi za operations za bandari, wakati Dar es salaam Maritime Institute (DMI) au Chuo cha Bahari kinafundisha kozi za unahodha wa meli, matengenezo ya meli na pia management ya operations za bandari.Mkuu nje ya mada kidogo hivi bandari college ni sawa na dmi
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app