clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
Habarini wapendwa poleni na majum.
nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada.
Mimi ni operator wa heavy machine.
Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia.
OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA MSAADA SINA PESA WAKUU NAOMBENI MNISAIDIE KUFIKA DODOMA .