Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 109
agents of devilHuku kitaani kwetu nafanya biashara ya riba 10 kwa 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
agents of devilHuku kitaani kwetu nafanya biashara ya riba 10 kwa 15
Kaka KILIMO hapo ndo penyewe. Naomba nikumbushe nikupe mchanganuo. Kwa ajili ya mwakani. Mimi pia nategemea kulima 200 hekas za ufuta. Vuli hii nimelima mhogo heka za kutosha. Karibu tena hujakosea kuusu kilimo na kitakutoa. Mimi nalima Tanga- handeni.
Pdidy: Umeanza Kwa style ambayo siyo safi sana mkuu, biashara ya mihadarati hapana hiyo Si ungi mkono Kwa namna yoyote ile, ila hapa kwenye issue ya biashara ya nyama ya Mbuzi na vitunguu tunaweza kuongea na Kwa hakika naomba niku PM kuweza ku exchange idea na kuwa na live conversation juu ya hilo ni muhimu sana na ninaomba unipe ushirikiano. Asante sana.
mkuu unajishughulisha na kilimo tu??? maana kilimo cha ufuta sio mchezo
Unajua kuna tofauti ya kusikia na kufanya. Ulilima heka ngp ukajua sio mchezo. Acha kutishia watu na kudanganya watu. Hii tabia naikemea kbsa na ni tabia ya wanadamu akiona hawezi kitu
1.atakukatisha tamaa ili muwe sawa.
2.atatafuta sababu ya kutokufanya badala ya kufanya
3. Alafu wengi wanapenda maneno ya kusikia, wengi wanapenda analysis za risk badala ya faida.
4. Wengi hawajiamini na waoga.
*Nani kawambia kilimo kinalimwa kwa mdomo?
*Nani kawambia kilimo kinalimwa kwa simu kuweka msimamizi?
* Alafu mnaanza kutishana kilimo kigumu. Ugumu ni uvivu wako au kilimo? Unategemea utengeneze mil 150 za ufuta alafu upo kwenye kochi unasema daah kilimo kigumu. Ushaenda sehemu husika au unasubiri ukusanyiwe data.
*Embu tuamke watanzania hakuna chochote zaidi ya uvivu sio mtaji wala nn? Mm nimeanza bila mtaji tatizo ni UVIVU.
*WAKE UP MYFELLOW TANZANIAN