Unajua kuna tofauti ya kusikia na kufanya. Ulilima heka ngp ukajua sio mchezo. Acha kutishia watu na kudanganya watu. Hii tabia naikemea kbsa na ni tabia ya wanadamu akiona hawezi kitu
1.atakukatisha tamaa ili muwe sawa.
2.atatafuta sababu ya kutokufanya badala ya kufanya
3. Alafu wengi wanapenda maneno ya kusikia, wengi wanapenda analysis za risk badala ya faida.
4. Wengi hawajiamini na waoga.
*Nani kawambia kilimo kinalimwa kwa mdomo?
*Nani kawambia kilimo kinalimwa kwa simu kuweka msimamizi?
* Alafu mnaanza kutishana kilimo kigumu. Ugumu ni uvivu wako au kilimo? Unategemea utengeneze mil 150 za ufuta alafu upo kwenye kochi unasema daah kilimo kigumu. Ushaenda sehemu husika au unasubiri ukusanyiwe data.
*Embu tuamke watanzania hakuna chochote zaidi ya uvivu sio mtaji wala nn? Mm nimeanza bila mtaji tatizo ni UVIVU.
*WAKE UP MYFELLOW TANZANIAN