Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Hope dies last. Kama mtu ataona haki yake inapotea na mali zinakwenda, hata nguruwe atakula. Watu wanauwa ndugu hata Wazazi wao, itakuwa hii? Hizo mahakama hata zikitambuliwa kisheria, zitakuwa kama mahakama za mwanzo tu. Mambo yakiwa magumu, zitapelekwa mahakama za juu.
Hapa kwanza nakuona wewe mwenyewe ukitafuta Lawyer kwenda Mahakama kuu kwa sababu ndugu za mumeo wamemuhonga huyo Kadhi sijui, na yeye anaamua mali zichukuliwe.
Mahakama ya kadhi ni short time solution. Dawa ni kuboresha mahakama zetu. Ila sasa inapotokea nchi inaongozwa kizembe na wewe unashinda hapa unatetea huo uozo ila baadaye unadai kesi zinachukua miaka10, hapo ndiyo huwa unaniacha hoi Ajuza wangu.
CCM OYEEEEEEEEEE!!:!::
NB: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/kitimoto-charejea-kwa-kasi

Labda wa ukane Uislam wao. Lakini kitu kama hicho sahau.
Na hicho unachosema wewe ndiyo maana tunataka Mahakama ya Kadhi itambuliwe kikatiba ili kuzuwia mambo kama hayo ya kupelekana mahakama isiyo ya kadhi. Bila kuitambuwa mahakama ya kadhi kikatiba kesi zitaendelea kuchukuwa muda mrefu na kuitia gharama kubwa serikali kama ilivyo sasa.
Mahakama ya kadhi ni solution, kwani Waislam wataridhika kuwa kesi zao zinasikilizwa ki dini yao na pia ucheleweshaji utakuwa hakuna na hivyo kupelekea haki kupatikana kwa wakati na gharama ndogo kwa walipa kodi.
Kumbuka. Justice delayed is justice denied.