Msaada wa ushauri kwa mjane unahitajika

Hope dies last. Kama mtu ataona haki yake inapotea na mali zinakwenda, hata nguruwe atakula. Watu wanauwa ndugu hata Wazazi wao, itakuwa hii? Hizo mahakama hata zikitambuliwa kisheria, zitakuwa kama mahakama za mwanzo tu. Mambo yakiwa magumu, zitapelekwa mahakama za juu.

Hapa kwanza nakuona wewe mwenyewe ukitafuta Lawyer kwenda Mahakama kuu kwa sababu ndugu za mumeo wamemuhonga huyo Kadhi sijui, na yeye anaamua mali zichukuliwe.

Mahakama ya kadhi ni short time solution. Dawa ni kuboresha mahakama zetu. Ila sasa inapotokea nchi inaongozwa kizembe na wewe unashinda hapa unatetea huo uozo ila baadaye unadai kesi zinachukua miaka10, hapo ndiyo huwa unaniacha hoi Ajuza wangu.

CCM OYEEEEEEEEEE!!:!::

NB: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/kitimoto-charejea-kwa-kasi

 

Tatizo lako ni elimu finyu.

Mahakama ya kadhi ndiyo solution pekee kwa hukumu za Waislaam, hivi sasa zinatumika fedha nyingi sana za serikali kuhusu hizo=hizo kesi za Waislaam.

Hii ruksa ya sasa ya kuwepo bila kutambulika na katiba hatuikubali na tutaendelea kudai haki yetu kwa amani hata iwe mpaka mwisho wa dunia, hatutakaa kimya na nnakwambia, hili la vyama vingi limetupa mwanya na fursa, tutaipata tu kupitia kura zetu, tena si muda mrefu kuanzia sasa, subiri ujionee.

Nchi nyingi duniani zimeliona hilo na zimeruhusu mahakama za kadhi, Jee, huyajuwi hayo?
 
Hata Mume na Muke, wana makubaliano yao ndani na wanaweza wakakubaliana na mtu asiingilie.

Mnataka kuanzisha mahakama, si anzisheni tu? Ila kumbuka haitakuwq solution. Tatizo lako wewe unawaza ki-Oldschool sana Ajuza wangu. Comedown to Earth Mama yangu, achana na maisha ya Venus sijui?

Unategemea Muislaam kama huyu aje kwenye mahakama zenu?



 

Hayo ni maisha tu, binaadam hujafa hujaumbika. Maisha yakikupiga kofi unafanya mambo ya kiajabu, pengine huyo imani yake kwa Mwenyeezi Mungu ni kubwa sana lakini hajapata ushauri tu.

Waislaam wengi waliousimisha Uislam hapo wakati wa Mtume Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasalaam walitoka kwenye ukafiri na ujahilia mkubwa kuliko huo wa Diamond, kumbuka hilo.

Msome huyu: http://www.islamcan.com/convert-sto...ens-how-he-became-a-muslim.shtml#.VLzfOi4WYrM
 

... and justice hurried is justice buried!
 
Kwasababu suala Hilo Ni dharula hapa na unasema kikao Ni Leo, ninkushauri wahi kaweke zuio la mahakama fastaaaa, Kisha fungus kesi ya msingi.

Lakini kwanza Ni zuio!

Waone wanasheria watakushauri vema,
 
There you are. Maisha yakikupiga, hata Mbuzi wa Kikatoliki utamla kama siyo kumfuga.

Kizazi kijacho, they don't give f#©£ what Parents or God say. They do care just them self.

Na hizi dola za Gas zikianza kumwagika na ufisadi mlioufanya CCM, watoto wenu watakuwa kama Wadhungu tu.

Masikini akipata, Dini na maadili tupilia mbali.

©©©
 

Huyo Mbuzi wa Kikatoliki ndiyo nani tena? Mimi najuwa kuna kondoo na mbwa wa kikristo.

Hiizo dola za Gas inabidi umpe sifa Kikwete kwa kuwahakikishia usalama wao wawekezaji mpaka kuweza kuwavuta hapa wawekezaji wakubwa kabisa duniani wa mambo hayo. Mfupa uliowashinda Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
 
Acha kukashifu kilichoumbwa na Mungu wewe. Hata Nguruwe kaumbwa na Mungu......

Palipo na Gas au mafuta ni kama mzoga, watakusanyana huko na kuja wenyewe na wala huhitaji kuwaita. Ukijifanya mjanja basi wataku-Ghaddafi au kuku-Saddam.

Mmeishia kuleta kajeshi ka Wachina kuja kujenga bomba la Gas ati wao ni wachomeleaji baharini. Umeshawaona hao Wachina wenu wanavyochomelea sasa WanWake wa Mtwara? Ngoja mpate vi-Tiger Wood hadi mfikiri mmevamiwa.

Kila la kheri Wachina katika kuwachomelea Watanzania na Bomba lao la Gas.

 

Nisome tena halafu uone ni nani aliyemtaja nguruwe? kama ni wewe au mimi.
 
Pure majibu ya NYERERE Type. Ingawa humpendi ila unamtumia sana.

Sasa hapo juu umeona hilo tu? Au ndiyo ile ya "Silence means agreement?"

Nisome tena halafu uone ni nani aliyemtaja nguruwe? kama ni wewe au mimi.
 
Pure majibu ya NYERERE Type. Ingawa humpendi ila unamtumia sana.

Sasa hapo juu umeona hilo tu? Au ndiyo ile ya "Silence means agreement?"

Kwanza umekuja na nguruwe sasa unakuja na Nyerere. Ipo kazi.
 
Bila kuingilia uhuru wa kuabudu.
Mali zote ni mali ya mwanamke mjane ambaye marehemu aliyekufa alikuwa naye.
Watoto hao wa mke wa kwanza walikuwa wapi siku zote baba yao akiwa hai? kama hawakutafuta vyao wamekula chenga zenye mawe!
wamuachie mali zake mama huyo! Kwa habari za mtoto aliyechizika wamlete kanisani aombewe ufahamu urudi maana pepo la kwao liko kazini kumumaliza!
 
Asante kwa taarifa mkuu. Binti huyo apelekwe akaombewe mbona atapona. Kuombewa haijalishi dini ya mtu. Hayo ,apepo yatalipuka na kuondoka. atafundishwa jinsi ya kuyazuia yasirudi tena. Unajua mambo hayo hospitali hayana dawa. Hospitalini atapewa dawa ambazo hazitamtibu.
 

Kwani kesi za Waislam zinazopelekwa mahakamani hivi sasa zinagharamiwa na nani?
 
sasa hio hati ya nyumba waliojenga Dar ina jina la mume au mke? kama ina jina la mke au majina yote mawili ya mke na mume yapo basi nyumba haingii kwenye mirathi kwahiyo sheria itatambua ni nyumba ya mke wa pili.

kama jina ni la mume peke yake, hapo ni majanga tayari. kwasababu lazima nyumba itaingia kwenye mirathi na familia yenyewe ni ya kislamu, kwa sheria za kiislamu itawatambua Hao watoto wa mke kwanza kwasababu ni warithi halali wa marehemu. Kosa kubwa hapo ni marehemu hakuacha wosia. hicho kikao sidhani kama italeta tija kwa huyo mama, hapo ni kupambana mahakamani tu.
zipo kesi 100 za mirathi kama hizi ambazo zipo mahakamani kwa miaka 10 na zaidi.
 
Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa Ya mwaka 1971[cap 29 R.E.2010] kifungu cha 56,mjane huyo anahaki sawa kwenye nyumba hiyo kama ambavyo haki alionayo mme wake,bila ya kujali wanandoa walikuwa waislam au vinginevyo.Na kama walifunga ndoa(mjane na marehemu) ya kiislam vile vile mwanamke huyo anahaki katika nyumba hiyo na linapokja suala la mirathi ni lazima masharti ya mirathi kwa mujibu wa sheria ya uislam yafuatwe kabla ya kugawa mirathi,vile vile watoto wa marehem ambao wamezaa pamoja nae,wanahaki ya kurithi kwa utaratibu uliopangilwa na uislam(Islamic Law of Inheritence)
 
Ili kulinda nyumba hiyo isipotee wala kufanywa chochote kama kuuzwa au kupsngishwaaende akafungue PINGAMIZI(caveat)mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…