Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ogopa sana unapokwenda caunta kulipia au serikalini umkute mwanamke ni bora kama hakuna mwanaume ni bora urudi kesho yake kwa hasara utakayoipata kuhudumiwa na mwanamke
mbona unapolipa kwa contro namba kabla ya kutuma pesa inakuja jina la unaemlipia ukiisha ona jina ukahikiki iko sawa ndio unatuma wewe ilikuwaje umetuma na jina lina kuonyesha sio mwanao halafu unakubali kusend
Itaendelea kwenye uzi wa masihara jinsi nklivyo.... dada aliyejosea plate nambaAcheni kulaumu watu mtu kashasema ni dada wa kazini, mi Kuna siku nilikua natoka dsm kwenda arusha na gari yangu private, nikapita mbezi pale kulipia gari yangu motor vehicle kipindi kile bado inalipiwa... Nikakuta dada wa kazi na bosi wake, nikafanya malipo ili nisisumbuliwe njiani, yule dada akawa analalamika anamwambia bosi wake "mama njoo ufanye mwenyewe mi sijazoea" yule bosi akawa anamjibu "lipia tu na wewe ntakufundisha mara ngapi"
Sikuwaza sana akalipia akanipa risiti sikuijagua vizuri nikasepa, nafika Arusha baada ya wiki natumiwa sms nimechelewa kulipia motor vehicle na faini nishapigwa , nikaona wasinitanie, nikachukua risiti nikaenda nayo ofisini, kufika kumbe yule dada alikosea namba Moja kwenye plate number akawa kalipia gari nyingine ambayo ilikua na cc sawa na gari yangu....
Yaani wabongo tupo nyuma sana,walishindwa kunisaidia chochote ilibidi nilipie motor vehicle fees upya tena baada ya kusumbuana nao kama wiki mbili, upuuzi kweli
So haya mambo usichukulie poa yanaweza kukutia hasara hivi hivi unaona
Sio UDSMInategemea na chuo husika but baadhi ya taasisi ukikosea namba wanarekebisha kiurahisi kabisa kwa muhasibu kukata jina na kuandika la muhusika kwenye risiti na kusaini.
Ungemueleza mwanafunzi aulize chuoni ili ujue utaratibu.
Mkuu kwani kumkosoa mtu anaeomba ushauri mpaka utumie lugha kali????? Na pia unajua watoto wetu wanaingia vyuo wakiwa na miaka mingapi?????? Pia alieleta uzi huu ni wakala sio mwanafunzi..!!!Hoja au swali linajibiwa kiungwana na sio kwa lugha kali au za kejeli,ndio watu wazima tunavyofanya.Huyo kijana hajielewi we soma hata kichwa cha habari ucheke. Eti msomi wa chuo kikuu anaandika blunder ya namna hiyo 😅
Huyu naye ndo mchekea hata unavyoandika tu unaonesha wewe mchekea.Huyo aliye lipiwa, hela yake amlipie mwenzake. Mbna simple tyuuh.
Jirani chonde chonde muache @ Cocastic peke yake tafadhali🤣🤣🤣🤣🤣Huyu naye ndo mchekea hata unavyoandika tu unaonesha wewe mchekea.
Kanishtua sana alivyoandika. Atakuwa ok kweli? Mimi hawa huwa nawatandika viboko tu.Jirani chonde chonde muache @ Cocastic peke yake tafadhali🤣🤣🤣🤣🤣
Jirani ushazeeka sasa acha ukorofi....🤣🤣🤣🤣Kanishtua sana alivyoandika. Atakuwa ok kweli? Mimi hawa huwa nawatandika viboko tu.
System ya Control number iko so randomly, ukikosea inakataa kwa maana lazima ikupe na jina la anayelipa hiyo huduma. Imekuwaje huyo amekosea? Sema amekosea registration number ya Mwanafunzi naweza kukuelewa.
Unafikiri hata Wana akili ya kujiongeza basi bora mmoja pale ana akili yule mweupe huyu mwengine sijui hata kawaje wakalaHuyo aliye lipiwa, hela yake amlipie mwenzake. Mbna simple tyuuh.
Ha ha ha.... Nimekuwa mpole sana siku hizi. Mtu wa peace and love.Jirani ushazeeka sasa acha ukorofi....🤣🤣🤣🤣
mwenyewe nimejiuliza hiki kitu kweli kuna watu si makini hata kidogoSystem ya Control number iko so randomly, ukikosea inakataa kwa maana lazima ikupe na jina la anayelipa hiyo huduma. Imekuwaje huyo amekosea? Sema amekosea registration number ya Mwanafunzi naweza kukuelewa.
Kaka hao wadada nawafahamu nlikuwa pale kipindi flan mmoja yupo vzr ila mwngn ni majanga kwa kwelhuyo dada uliyemweka kwenye uwakala kua nae makini sana!! icho kitu anachokueleza ni ushenzi wa tabia