Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

Kwenye miamala kukosea kupo lkn Kwa mtu anaejitahidi kua makini Kuna aina ya makosa huwezi kuyaona
hivi mkuu umelewa maelezo aliyoyatoa et kakosea control number na kumlipia mwingine hilo jambo ni gumu kutokea tena ndani ya chuo kimoja kwa kiwango kilekile cha pesa nakata. labda anambie amekula njama kumlipia huyo mwanafunzi kijanja
 
Kuna mda unabaki unacheka tu! Sema inawezekana lkn ntakua wa mwisho kuamini
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! [emoji848][emoji848][emoji848] ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! [emoji15] vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! [emoji17]
Wengine control number wanapewa chuo ukienda Kwa wakala unamsomea au anaangalia mwenyewe,Sasa wewe uoni hapo mtu anaweza akakosea Kwa isivyo bahati
 
Kuna mda unabaki unacheka tu! Sema inawezekana lkn ntakua wa mwisho kuamini
hili jambo ni gumu kutokea ujue zile namba kuzikosea kisha ukazipatia kwa mtu mwingie na kukubali kwa kiwango hichohicho cha pesa ni HAPANA.huyo alikua anajua anachofanya
 
hivi mkuu umelewa maelezo aliyoyatoa et kakosea control number na kumlipia mwingine hilo jambo ni gumu kutokea tena ndani ya chuo kimoja kwa kiwango kilekile cha pesa nakata. labda anambie amekula njama kumlipia huyo mwanafunzi kijanja
Sifahamu zile namba zinavyokuwa computed lakini assume umepewa Control Number 994180343471. Je, haiwezekani wakati wa kuingiza CN ukaingiza 994180433471 au 991480343471?! Je, ukiingiza hiyo namba na kama ilikuwa assigned kwa mtu mwingine tayari, hiyo transaction itagoma?!
 
itagoma kulingana na kiwango cha pesa kilichoelekezwa kwenye namba hiyo,kwenye ada watu hupatiwa namba kulingana na pesa unayotakiwa kulipa sasa ukosee namba kisha upatie kiwango cha pesa kwani alilipa pesa kiasi gani
 
Sio kila control number ni close ended, zingneee ni open ended mwanafunzi anapewa moja tu na analipia mwaka mzima
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! [emoji848][emoji848][emoji848] ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! [emoji15] vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! [emoji17]
Vijana wa insta na tktk hawa

Ova
 
Habari za Leo wadau,

Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa.

Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha.
Hapo unatakiwa kuwasiliana na mtandao uliotumia kulipa , hao watawasiliana yule dada mtu ambae mmemlipia kimakosa, yule akisema ni kweli imekosea mtarudishiwa mualama wako,
lkn kama unaweza kumapata mtu uliemlipia kimakosa itakuwa rahisi zaid eidha akurudishie pesa ikiwa nae hajalipa,au atasaidia kuwafamisha watu wa matandao ya kwanmba kuna peaa imeingia kwake kimakosa arudishiwe muhusika
 
Haya nawee mtetea, andika kuonesha wee ni mtetea.
Si utoe nawee maoni yako, kwan ni lazima niandike unachotaka wee??aba

Hapo unatakiwa kuwasiliana na mtandao uliotumia kulipa , hao watawasiliana yule dada mtu ambae mmemlipia kimakosa, yule akisema ni kweli imekosea mtarudishiwa mualama wako,
lkn kama unaweza kumapata mtu uliemlipia kimakosa itakuwa rahisi zaid eidha akurudishie pesa ikiwa nae hajalipa,au atasaidia kuwafamisha watu wa matandao ya kwanmba kuna peaa imeingia kwake kimakosa arudishiwe muhusika
Asante Kwa ushauri
 
Hivi mtu unakoseaje control number, yani ukiingiza tu inakuja na detail zote za mlengwa
 
Back
Top Bottom