Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

itagoma kulingana na kiwango cha pesa kilichoelekezwa kwenye namba hiyo,kwenye ada watu hupatiwa namba kulingana na pesa unayotakiwa kulipa sasa ukosee namba kisha upatie kiwango cha pesa kwani alilipa pesa kiasi gani
Sasa chifu kiwango cha pesa si kinakuwa kwenye round figures?! Hata physics ya Form II tulikuwa tunafundishwa jinsi error zinavyoweza kupatikana. Kwa mfano, 241247 unaweza kujikuta unaandika 242147 lakini ni nadra sana ukosee kuandika 500,000
 
Kwa mtu ambae sio Wakala ni ngum kunielewa ila Kwa mtu anaefanya agency Banking atafaham na hata nikikufahamisha hutoelewa
 
Sasa chifu kiwango cha pesa si kinakuwa kwenye round figures?! Hata physics ya Form II tulikuwa tunafundishwa jinsi error zinavyoweza kupatikana. Kwa mfano, 241247 unaweza kujikuta unaandika 242147 lakini ni nadra sana ukosee kuandika 500,000
hapa hatuzungumzi habari ya physics kiongozi huo mfano uliweka apo ni maji na mafuta
 
Back
Top Bottom