Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

nzalendo Kigali rd to DAr Tz. Hii njia inaabiria sana.?! And if so nauli zake kwa abiria mmoja ni how much?
 
Last edited by a moderator:
nzalendo kigali rd to dar tz. Hii njia inaabiria sana.?! And if so nauli zake kwa abiria mmoja ni how much.??
itategemea na quality ya basi lako: Muhimu zingatia hapa mapaka Kahama isipungue 40,000
Kahama kigali isipungue 25,000 unaweza kuongeza au ukaacha hivyo kwa muda wakishazoea, unapandisha kidogo kidogo
ila nenda stendi ya mkoa utapata mwanga zaidi. Kimsingi faida isiwe mbali na sh.2,000,000 kwa trip.(kwenda tu).
 
Kwa ufupi hii biashara ni nzuri tena sana, mtu asikukatishe tamaa kwamba hailipi au kwa kisingizio chochote, kuna mambo ya msingi ukiyafanya hayo umetoka comrade.
(Kwa wenye mawazo ya finyu wanaweza sema ni uchawi Noo!!)

Ahh kumbe,

Ni yapi hayo aisee?
 
itategemea na quality ya basi lako:
Muhimu zingatia hapa mapaka kahama isipungue 40,000
kahama kigali isipungue 25,000
unaweza kuongeza au ukaacha hivyo kwa muda wakishazoea
unapandisha kidogo kidogo
ila nenda stendi ya mkoa utapata mwanga zaidi.
Kimsingi faida isiwe mbali na sh.2,000,000 kwa trip.(kwenda tu).

Ahsante Kwa ushauri wako nzalendo

Bila shaka nitafanya huu uchunguzi. Na pia naomba kama waweza pia fahamu juu ya mlbiashara hii ya mafuta unipe ujuzi (darasa kidogo) na Kwa uzoefu wako labda; maximum nauli Kwa mtu mmoja hua wanatoza kiasi gani from dar to Kigali.??

Na unanidhauri bus niliweke kwenye qualify gani.??
 
Last edited by a moderator:
Ahh kumbe, Ni yapi hayo aisee.??

Chief, kila biashara ina kanuni zake kiuendeshaji, tukizungumzia hii biashara ya mabasi ambayo nina ujuzi nayo kwa muda kiasi.

Kwa kufuata huitaji wako wa kutaka kujua ni nini, basi fuatana nami.

Enzi za Scandinavia Express, kwanza walikuwa wanaendesha kampuni kisasa na hata kuajili wataalamu kutoka nje, hii iliwezesha kuaminiwa kwa binadamu wote.

Katika kuajili watu wenye weredi na kujitambua ilibidi hao watu wawezeshwe ktk mfumo wao wa maisha, hapa nazungumzia mf. Afya nk, pia kuwajali na ndiyo hii uliyoiona majuzi (Mgomo).

Jambo lingine kuwatambua viongozi wanaohusika ktk nyanja ya usafirishaji kama Jeshi la polisi, Sumatra nk maeneo yote basi zako zitapita hii itakurahisishia kupunguza urasimu kutoka kwa makopro/masajenti wanaokuwepo njiani hata sehemu zisizohusika.

Katika hili hata ukiwa 60speed abilia wataona basi linatembea mujarabu na kufika kwa wkt sababu halisimami hovyo.

Elimu, kwa nini madereva walipinga kurudi shule?

Hii hapa, mojawapo ya mafanikio ambayo SE waliyapata ni kupitia upande huo wa elimu. Piga Ua ilikuwa lazima kila mfanyakazibwa bus kila baada ya muda fulani akili ipate msasa na kujitambua yupo pale kwa makusudi gani na anakutana na nani.
(Mfano)

Yapo mengi sana ila niishie hapa kwa kusema, usimamizi wowote utakaofanywa na management yako unapaswa uegemee ktk technics za kumteka mteja kutoka kwingine na aje kwako kutokana main services ambazo atapata kuanzia anapokata ticket mpaka anashuka.
 
Duh, hii thread nzuri.

Nami ningependa kujua, hesabu za mabasi makubwa ya mkoani. Nasikia yakiwa manne kwa mwaka au mwaka na nusu zio chini ya billion moja na million mia kadhaa, ni kweli hii.
 
TODAYS

Duh, hii thread nzuri.

Nami ningependa kujua, hesabu za mabasi makubwa ya mkoani. Nasikia yakiwa manne kwa mwaka au mwaka na nusu zio chini ya billion moja na million mia kadhaa, ni kweli hii.
 
Tunaomba mrejesho ulifanikiwa kuanzisha hii biashara au ulifanya nyingine?
 
Duh, hii thread nzuri.

Nami ningependa kujua, hesabu za mabasi makubwa ya mkoani. Nasikia yakiwa manne kwa mwaka au mwaka na nusu zio chini ya billion moja na million mia kadhaa, ni kweli hii.?!
Hii kitu ina ukweli au ni hisia tu za watu?
 
Back
Top Bottom