Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itategemea na quality ya basi lako: Muhimu zingatia hapa mapaka Kahama isipungue 40,000nzalendo kigali rd to dar tz. Hii njia inaabiria sana.?! And if so nauli zake kwa abiria mmoja ni how much.??
Kwa ufupi hii biashara ni nzuri tena sana, mtu asikukatishe tamaa kwamba hailipi au kwa kisingizio chochote, kuna mambo ya msingi ukiyafanya hayo umetoka comrade.
(Kwa wenye mawazo ya finyu wanaweza sema ni uchawi Noo!!)
itategemea na quality ya basi lako:
Muhimu zingatia hapa mapaka kahama isipungue 40,000
kahama kigali isipungue 25,000
unaweza kuongeza au ukaacha hivyo kwa muda wakishazoea
unapandisha kidogo kidogo
ila nenda stendi ya mkoa utapata mwanga zaidi.
Kimsingi faida isiwe mbali na sh.2,000,000 kwa trip.(kwenda tu).
Ahh kumbe,
Ni yapi hayo aisee.??
Ahh kumbe, Ni yapi hayo aisee.??
Hii kitu ina ukweli au ni hisia tu za watu?Duh, hii thread nzuri.
Nami ningependa kujua, hesabu za mabasi makubwa ya mkoani. Nasikia yakiwa manne kwa mwaka au mwaka na nusu zio chini ya billion moja na million mia kadhaa, ni kweli hii.?!