Msaada wa ushauri wa masega

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Gari yangu ni Toyota Kluger,

Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo

Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana

Sasa nikaambiwa masega yameibwa ndio maana Iko hivyo

Sasa swali langu Kwa wataalam,

Hivi vibuyu ninavyoviona kwenye mitandao (masega) vinaingiliana pale mbele chini ya injini na nyuma kwenye bomba?

Coz naambiwa masega yapo sehemu mbili
 
Ilikuaje mpaka unaibiwa mchana ina maana gari uliwaachia mafundi?
Alafu hiyo kariakoo ni mitaa IPi maana kama gerezani Mimi mwenyewe ndiyo napaki hapo daily na hao mafundi wa hapo gerezani nawajua karibia wote..
Kama ulipeleka gari mitaa ya shaurimoyo kule kuna wezi kwelikweli maana hapo kila fundi ni mwizi ni wachache Sana waaminifu
 

Kama unaijua hotel moja ilikuwa inaitwa Ntasoma ya msomali mmoja hivi

Ni opposite na pale,

Unaingilia hii njia ya kwenda kamata kabla ujavuka Reli kuna office za tigo Kwa nyuma pale
 
Mbona shauri moyo pako fresh tu kuna jamaa wengine waaminifu unaacha gari unaenda misele unarudi chuma ipo fresh...
 
Yanaingia yale, bei yake naona si ndogo. Sasa ndugu hapo hapo hukuwarudia mafundi kuwakamata mashati?

Kuna jamaa alipeleka gari zake 2 kupigwa rangi, baada ya kazi kumaliza anapiga gari moto anaona mlio wa ajabu, at hajaondoka kazua tifu, hakuskia hili Wala lile, Wala hakutaka kurudishiwa masega yake, alitala exhaust system nzima irudishwe hataki welding, ikabidi mafundi wamtafutia tu baada ya mda, na pesa zao za kupiga rangi hawakulipwa [emoji28]

Dawa Yao ni kuanzisha tifu tu
 

Sijajua kama kuna gari zina masega sehemu mbili.


Ila masega ya muhimu huwa ni ile ambayo ina O2 sensor in between au AF sensor na O2 sensor.

Yale ndio huwa yakiwa disturbed yanaathiri performance ya engine na consumption.
 
Nilisikia kwamba haya masega ya vibuyu hayako effective sana bora ubadilishe exhaust yote. Kama una hela badili tu system yote
 
Sijajua kama kuna gari zina masega sehemu mbili.


Ila masega ya muhimu huwa ni ile ambayo ina O2 sensor in between au AF sensor na O2 sensor.

Yale ndio huwa yakiwa disturbed yanaathiri performance ya engine na consumption.
Mkuu samahani ,kwa kwaida gari ambayo bado makini inatakiwa kutumia liter ngapi kwa kilometres
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…