hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Gari yangu ni Toyota Kluger,
Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo
Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana
Sasa nikaambiwa masega yameibwa ndio maana Iko hivyo
Sasa swali langu Kwa wataalam,
Hivi vibuyu ninavyoviona kwenye mitandao (masega) vinaingiliana pale mbele chini ya injini na nyuma kwenye bomba?
Coz naambiwa masega yapo sehemu mbili