Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa itabidi niende college kujifunza? Au juu kwa kujuu
Naomba ushauri nataka hujifunz utengenezaji wa hardware. Kuweka kamera,kiyoo,maik,system charji,chipset,simu kupiga chaji,Maji,kutambua resistance, diod,spika ..
Vitu gani vimebaki kwenye hardware samahan kwa usumbufuu..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haizdi 5000.Hivi solder paste ni shilling ngapi wakuu?
shukrani!Haizdi 5000.
vipi mkuu na wewe ni fundi?Matatizo huwa hayaishi cha msingi kama ni ofisi fungua ukikutana na changamoto ndio kichwa kitatanuka, mfano unaweza sema unajua kuweka MIC siku unakutana na simu njia za MIC zimekufa inabidi ukomae uzitafute.
Hivi solder paste ni shilling ngapi wakuu?
Haizdi 5000.
Huyo jamaa kakudanganya, solder paste bei inaanzia 15k kwa kopo la xg50 na xg80 ni 20k kariakoo, ukiagiza AliExpress ni kuanzia 12k kupanda kulingana na aina ya solder paste.shukrani!
duh.kwahiyo chini ya hapo sipati mkuu?Huyo jamaa kakudanganya, solder paste bei inaanzia 15k kwa kopo la xg50 na xg80 ni 20k kariakoo, ukiagiza AliExpress ni kuanzia 12k kupanda kulingana na aina ya solder paste.
Hupati.duh.kwahiyo chini ya hapo sipati mkuu?
ndio mkuuvipi mkuu na wewe ni fundi?
mkuu ukitaka multimeter nzuri utapata kuanzia elfu 25 na kuendelea! Mimi nilinunua ya elfu 25 haina tatizo lolote Hadi Sasa!Multimeter 6000, mm nilinunua elfu 10 ilikaa wiki ikaharibika
wanakuja.Wakuu naomba mnijuze Bei ya solder wire na desoldering pump.navihitaji kwa matumizi yangu binafsi!
Hiv vifaa nikivihitaji vyote niandae sh ngapi wadau??Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua pakuvipata na bei zake mafundi wa hardware msaada wenu tafadhali baadhi ya vitu nilivyopewa majina hivi hapa chini maoni yenu na ushauri wenu ni muhimu sana.
1. Multimeter nzuri ya kisasa bei ya kawaida
2. SOLDERING STATION
3. BENCH POWER SUPPLY (30V, 10A)
4. HAND TOOLS (SCREWS, Etc)
5. Pcb holder
6. Solder wire
7.Pcb cleaner
8. Jumper wire
9. Blade cutter
10. Tweezer
11. Battery booster
12. Ultrasonic cleaner
13. Gba kit
14. Liquid flux
15. Paste flux
16. Solder past
17. Desoldering wire
18. T-7000 stronger glue
19. Bk 5500 Precision cleaning agent
View attachment 1418268