Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

Msaada wa vifaa vya ufundi simu upande wa hardware

Sasa itabidi niende college kujifunza? Au juu kwa kujuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
juu kwa juu fresh maana utakuwa unakutana na matatizo chuo napo si mbaya ni vizuri kusoma
 
Sasa itabidi niende college kujifunza? Au juu kwa kujuu
Naomba ushauri nataka hujifunz utengenezaji wa hardware. Kuweka kamera,kiyoo,maik,system charji,chipset,simu kupiga chaji,Maji,kutambua resistance, diod,spika ..
Vitu gani vimebaki kwenye hardware samahan kwa usumbufuu..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Matatizo huwa hayaishi cha msingi kama ni ofisi fungua ukikutana na changamoto ndio kichwa kitatanuka, mfano unaweza sema unajua kuweka MIC siku unakutana na simu njia za MIC zimekufa inabidi ukomae uzitafute.
 
Matatizo huwa hayaishi cha msingi kama ni ofisi fungua ukikutana na changamoto ndio kichwa kitatanuka, mfano unaweza sema unajua kuweka MIC siku unakutana na simu njia za MIC zimekufa inabidi ukomae uzitafute.
vipi mkuu na wewe ni fundi?
 
Huyo jamaa kakudanganya, solder paste bei inaanzia 15k kwa kopo la xg50 na xg80 ni 20k kariakoo, ukiagiza AliExpress ni kuanzia 12k kupanda kulingana na aina ya solder paste.
duh.kwahiyo chini ya hapo sipati mkuu?
 
Wakuu naomba mnijuze Bei ya solder wire na desoldering pump.navihitaji kwa matumizi yangu binafsi!
 
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua pakuvipata na bei zake mafundi wa hardware msaada wenu tafadhali baadhi ya vitu nilivyopewa majina hivi hapa chini maoni yenu na ushauri wenu ni muhimu sana.

1. Multimeter nzuri ya kisasa bei ya kawaida
2. SOLDERING STATION
3. BENCH POWER SUPPLY (30V, 10A)
4. HAND TOOLS (SCREWS, Etc)
5. Pcb holder
6. Solder wire
7.Pcb cleaner
8. Jumper wire
9. Blade cutter
10. Tweezer
11. Battery booster
12. Ultrasonic cleaner
13. Gba kit
14. Liquid flux
15. Paste flux
16. Solder past
17. Desoldering wire
18. T-7000 stronger glue
19. Bk 5500 Precision cleaning agent

View attachment 1418268
Hiv vifaa nikivihitaji vyote niandae sh ngapi wadau??
Na kwa mwanza naweza pata wapi?
 
Back
Top Bottom