Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hamna gari hapoView attachment 1592646
volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel
Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo.
1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km).
2. Upatikanaji wa vifaa vyake vya kufanyia service ( diesel filter na oil filter ) ikiwezekana na bei yake.
3. Upatikanaji wa mafundi (arusha na Dar).
4. Upatikanaji wa vipuli.
5. Je ina magonjwa ya mara kwa mara.
6. Uimara wake kwa ujumla.
Wapendwa msaada wenu kwangu ni muhimu sana ili kukamilisha jambo hili.
Nawatakia usiku mwema wapendwa
Huna gari ww ndio maana unajibu tu ovyo wenye magari utawajua kausha nenda kwa waenxesha bodaHamna gari hapo
Napia zipo nyingi sana, obvious wateja ni wengi ukilinganisha na magari mengine ambayo yako machache. Nina IST nimenunua mwaka 2017 haijawahi Sumburgh zaidi ya kubadilisha break.Zipo sababu ni bei rahisi kununua na kufanya replacement kwenye Toyotas. Engine ya Benz, VW au Audi unadhani itakuwa na bei sawa na Toyota? Ushajiuliza cost ya fundi ku diagnose BMW tu ama maintanance ambayo ina include replacement ya spare parts?
ngalangala hilomile 100 000 ndo km ngapi? mimi ni mtu wa metric system isitoshe ni ya mwaka gani? kwa maana kuna uwezekano unadanganywa, ...