suley wa tz Senior Member Joined Feb 14, 2017 Posts 116 Reaction score 138 May 1, 2024 #1 Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 May 1, 2024 #2 Mkufunzi unaomba desa? Si u 'gugu' mkuu? Fanya homework yako mkufunzi bana!
suley wa tz Senior Member Joined Feb 14, 2017 Posts 116 Reaction score 138 May 1, 2024 Thread starter #3 Kambaku said: Mkufunzi unaomba desa? Si u 'gugu' mkuu? Fanya homework yako mkufunzi bana! Click to expand... Sawa mkuu naendelea ku Gugu huku nikingoja experience kadhaa kutoka kwa wananzengo
Kambaku said: Mkufunzi unaomba desa? Si u 'gugu' mkuu? Fanya homework yako mkufunzi bana! Click to expand... Sawa mkuu naendelea ku Gugu huku nikingoja experience kadhaa kutoka kwa wananzengo
favoured me 2023 Member Joined Aug 19, 2023 Posts 65 Reaction score 92 May 1, 2024 #4 suley wa tz said: Sawa mkuu naendelea ku Gugu huku nikingoja experience kadhaa kutoka kwa wananzengo Click to expand... Naomba link ya tangazo tafadhali
suley wa tz said: Sawa mkuu naendelea ku Gugu huku nikingoja experience kadhaa kutoka kwa wananzengo Click to expand... Naomba link ya tangazo tafadhali
favoured me 2023 Member Joined Aug 19, 2023 Posts 65 Reaction score 92 May 1, 2024 #5 Sijui kwanini hampo hapawatu wautumish mtusaidie na possiblē