Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

Bin S

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
212
Reaction score
366
Habari za majukumu.

Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
 
HRs na wengine mkitoka kazini mpitie huku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani jf ya siku hizi,watu wamekuwa wachoyo wa vitu +
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…