Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

Clear data kwenye simu yako.

Simu ya Android nenda kwenye settings - application manager - zikija application select yoyote zitakuja option mbili; uninstall au clear data, chagua clear data, fanya hivyo kwa application zote hakafu uone kama tatizo litaondoka.

Kama likiendelea kuwepo inabaki option moja tu, format simu yako.
 
Nilijua kabsa hii ni TECNO ...au ndg yake infinx hama mzeee na bado ile msg ya NOT RESPONDING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…