FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hata Samsung hufanya hivyomkuu solution ni kuacha kutumia TECNO, naongea haya from experience.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Samsung hufanya hivyomkuu solution ni kuacha kutumia TECNO, naongea haya from experience.
Wanunue iphone.?Hata Samsung hufanya hivyo
Iphone kila kitu unalipia, kuna wakati hapo awali hata kushare tu internet yako mwenyewe kwa WiFI ilibidi ulipie etiWanunue iphone.?
Tatizo ni uchumi mkuu hakuna asiyependa kudrive Mercedes Benz hapa ,tunatumia Toyota IST si kwa kupendamkuu solution ni kuacha kutumia TECNO, naongea haya from experience.
Aaaaah ok
Kwanini hutaki samsung?Mimi sitaachana nayo aise maana inakidhi matumizi yangu.Labda kuwe na ulazima wa hizo Samsung,Oppo, Huawei, iphone na Nokia,ndo nitaachana nayo