InategemeaMkuu hivi kati ya chet cha form six na certificate au diploma ya fani yeyoye ile kipi kinasoko? Cheti muhimu kwa upande wangu ni form four baada ya hapo mtoto akasomee fani kuanzia cheti, diploma kisha degree anaweza kwenda chukua akiwa kwenye ajira yake.Tena kwa issue ya ufundi anayeanzia cheti, diploma kisga chuo kikuu anakuwa fundi kweli kweli huwezi mfananisha na fundi aliyetoka form six akaenda chuo kikuu.
Mkuu chagua eneo kabisa ujengewe sanamu hapoKusoma Advance kutampa nafasi ya kujitafuta na kuongeza bidii ili afaulu vizuri na aende chuo akapige zake MD au Engeering. Chuo sio pazuri kwani kuna peer pressure kubwa sana unampeleka mtoto wa 16 yrs anakutana na wenzake na wakubwa zake ambao wanamiliki vitu vya thamani na bata nyingine, tena ukute wana mkopo na yeye anategemea kila kitu kwako lazima alete wenge kwa kuijiongeza kwa namna anayoona inafaa ili aweze kwenda sawa na wenzake. Cha msingi mpe uhuru ila kumpeleka chuo sio suluhisho
Mkuu ujengewe sanamu.Inategemea
Akienda mondo huo atasima degree akiwa kikongwe
Njia hiyo inatumiwa na watu wasio na ambition kubwa ya maisha wanaotaka kuazia kazi vingazi vya chini vidogo vidogo
Njia ya kupitia form six inampeleka mtoto haraka kwenye digrii na akifanikiwa kupata kazi anaanza moja kwa moja ngazi kubwa akiwa na umri mdogo.Ndio maana unakuta mtu nurse alipitia hivyo vi certificate na vi diploma unakuta analalamika kuwa bosi wao daktari ni kitoto kidogo sawa na umri wa mwanae!!
Hivyo vyeti watoto wa sasa wamemaliza wadogo mno form four unakuta mtoto ana Miaka 16 .Hata hajitambui unaenda kumsomesha kuwa mkunga aanze kuzalisha akina mama watu wakazima kuwafunua mauchi na kuwatanulisha miguu !!! Kwa umri huo humtendei haki!! Aende tu high schoolMuache akasome PCB
Akipata division 3 imekula kwake atarudi tena kwenye vyuo vya kati
Hakuna na wewe usiende kindezi! Huyo mtoto mimi nimempenda bure! Mwache akasome hiyo PCB akitoka huko atakuwa amekomaa zaidi. Kuna madude akiyapata kule form 5 na 6 yatakuja kumsaidia sana akiwa kwenye hizo kozi za medical. Nimeshuhudia jinsi vijana waliotoka form 6 wanavyopiga kitabu kwa raha zao huku kwenye kozi za medical tofauti na walioishia form 4. Uzuri sasa hivi watoto wanamaliza shule wakiwa wadogo. Mwache kwanza aende A level utakuja kunishukuru!Nimekuelewa! Zama zimebadilika. Nakaza buti ili tuelewane.
Miaka mitatu akafanye mtihani wa en? We ni pumba kabisaAcha mjukuu asome advance level, akimaliza asome degree mazima aje kuwa Nurse officer, au MD, sasa akasome diploma miaka 3, tena akimaliza leseni afanye mitihani ya EN
Shida humu watu wanaongea vitu wasivyovijua baada ya kusema RN wao wanasema ENMiaka mitatu akafanye mtihani wa en? We ni pumba kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una maisha ya kukariri Mimi marafiki zangu niliomaliza nao Diploma watatu wanasema bachelor now sasa Sijui unaongelea ukongwe upi ...Inategemea
Akienda mkondo huo atasoma degree akiwa kikongwe
Njia hiyo inatumiwa na watu wasio na ambition kubwa ya maisha wanaotaka kuazia kazi vingazi vya chini vidogo vidogo
Njia ya kupitia form six inampeleka mtoto haraka kwenye digrii na akifanikiwa kupata kazi anaanza moja kwa moja ngazi kubwa akiwa na umri mdogo.Ndio maana unakuta mtu nurse alipitia hivyo vi certificate na vi diploma unakuta analalamika kuwa bosi wao daktari ni kitoto kidogo sawa na umri wa mwanae!!
Haina Haja ya kumaliza kusoma Mimi Hata sijapoteza mkuu Nina GPA 4.5 na kazi ninayo tena ya mshahara wa watu wanaojiita wa bachelor.Nimeishia hapo.
Naomba mi unisaidie, kachaguliwa HGK na anataka CBG maana yote alifaulukama unataka aendelee na masomo ya kidato cha tano na hujui cha kufanya nipe namba ya mtihani ya kijana unitajie combi anayoitaka na shule anayoitaka....within a few second nitakusaidia
Kabisa halafu huwa Wabishi sana mimi form four nilichagua kwenda chuo nimepiga Dip ya Engineering tena niliyokuwa naipenda na nikamaliza nimeenda kazini kama technician nikarudi chuo kupiga degree now ni Engineer na ninaishi Ndoto zangu.Ila madogo hawashauliki.Hawa watoto sijui nani kawaloga eti kwenda form five kwao ndio dili. Nina uncle wangu mwaka jana alipangiwa chuo cha MUST course ya umeme eti akataka kubadilisha kwenda form five kashauriwa na baba yake, mimi nikamwambia wewe jaribu kubadilsha ndio utanijua mimi ni nani. Uncle akanisikiliza akaenda MUST kufika kule nikamuombea abadilishe course asome civil kwa sababu tayari kuna watu wamesoma umeme kwenye familia akapata. Leo hii ananipigia simu anafurahia maisha ya chuo na anatarajia kulamba hela ya IPT muda sio mrefu.
Kifupi watu bado hawaelewi kuhusu hizi elimu za vyuo vya kati wao wanadhani five na six ndio dili, hawajui zama zimebadilika.
Ushauri wangu kwako usikubali mjukuu akupande kichwani, mshauri umuhimu wa kwenda chuo tena uzuri ni chuo cha afya, tumia democrasia kumshauri ikishindikana tumia nguvu tena ikiwezekana mwambie akienda form five hutomlipia ada, atakuja kukushukuru baadae.
Naona hatujaelewana kwa wale waliopita dip na sasa wanadegree wamenielewa vizuri nini nilikilenga.Inategemea
Akienda mkondo huo atasoma degree akiwa kikongwe
Njia hiyo inatumiwa na watu wasio na ambition kubwa ya maisha wanaotaka kuazia kazi vingazi vya chini vidogo vidogo
Njia ya kupitia form six inampeleka mtoto haraka kwenye digrii na akifanikiwa kupata kazi anaanza moja kwa moja ngazi kubwa akiwa na umri mdogo.Ndio maana unakuta mtu nurse alipitia hivyo vi certificate na vi diploma unakuta analalamika kuwa bosi wao daktari ni kitoto kidogo sawa na umri wa mwanae!!
Mchepuko wake??Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Waliwahi kuja kukuomba kibaba Cha unga??Wakunga si ndio hawa wanaolia njaa huku mitaani,?
Muulize anataka kwenda kidato cha 5 ili baadae asomee nini?Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?