Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Babu kwahiyo upo vzr kwny choo cha kulenga?!Kumbe tuko wengi asee. Mi nimehamia hata choo hakijakamilika. Nikachimba shimo nje nikaweka matairi ya magari... nikazungushia makuti mambo yakanyooka...
Nikikumbuka maisha yale huwa namshukuru sana kwa wema wake na kwa kunipa mke mvumilivu
Maisha bwana tunapitia vitu vingi mm nkikumbuka nilipotoka huwa namshukuru mungu sana na mara nyingi hata nkiwaambia watu huwa hawaamini kbs