Msaada wadau,nafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga kwa kukosa elf 90

Kumbe tuko wengi asee. Mi nimehamia hata choo hakijakamilika. Nikachimba shimo nje nikaweka matairi ya magari... nikazungushia makuti mambo yakanyooka...

Nikikumbuka maisha yale huwa namshukuru sana kwa wema wake na kwa kunipa mke mvumilivu
Babu kwahiyo upo vzr kwny choo cha kulenga?!

Maisha bwana tunapitia vitu vingi mm nkikumbuka nilipotoka huwa namshukuru mungu sana na mara nyingi hata nkiwaambia watu huwa hawaamini kbs
 
Hahaha niko vizuri mno. Nimelenga sana mashimo kiongozi.

Namshukuru Mungu hapa nilipofika ni kwa neema zake tu.
 
Mungu ni mwema sana ukikumbuka ulipotoka machozi ya furaha hunitoka.

Babu karibu supu na baridi hii
 
Back
Top Bottom