cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mwsho ataambiwa Shoga, wabongo kwa figisu na ufukunyuku hawajambo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hawazijui changamoto hao 😆😆😆Hajielewi huyo, yaani kutaniwa kuwa shemeji sijui wifi ndio unaona changamoto kubwa ya kusimulia watu?
Yaani hiyo ni changamoto kweli? 😂😂
Au unajitungia story kuchangamsha jukwaa
🤣🤣🤣🤣 mm mwenyew naitafuta mkuu labda kuna part 2Kwa hiyo changamoto iko wapi hapo?
Anaona kama anasumbuliwa kuuliza eti!Kwa hiyo changamoto iko wapi hapo?
😂😂😂😂Mwsho ataambiwa Shoga, wabongo kwa figisu na ufukunyuku hawajambo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nimekosea kuandikaUkiachana na madem wa kike, Kuna mademu gani Tena?
Sawa.Nimekosea kuandika