Mkuu hawazijui changamoto hao πππHajielewi huyo, yaani kutaniwa kuwa shemeji sijui wifi ndio unaona changamoto kubwa ya kusimulia watu?
Yaani hiyo ni changamoto kweli? ππ
Au unajitungia story kuchangamsha jukwaa
π€£π€£π€£π€£ mm mwenyew naitafuta mkuu labda kuna part 2Kwa hiyo changamoto iko wapi hapo?
Anaona kama anasumbuliwa kuuliza eti!Kwa hiyo changamoto iko wapi hapo?
ππππMwsho ataambiwa Shoga, wabongo kwa figisu na ufukunyuku hawajambo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nimekosea kuandikaUkiachana na madem wa kike, Kuna mademu gani Tena?
Sawa.Nimekosea kuandika